
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi
akipokea zawadi maalum ya pongezi
kwa kutimiza miaka miwili ya uongozi wake,
kutoka kwa Waziri wa Nchi (OR) Katiba, Sheria Utumishi na Utawala Bora.
Mhe Haroun Ali Suleiman katika Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za binaadamu yaliyofanyika katika
Ukumbi wa Zanzibar Beach Resort, Tarehe 16 Desemba 2022
Welcome to the official website of the Zanzibar Public Leaders’ Ethics Commission. The Commission is an independent agency of the Zanzibar Revolutionary Government responsible for implementation and enforcement of the Zanzibar Public Leaders’ Code of Ethics Act, No. 4 of 2015 which requires all public leaders to make declaration of their assets and liabilities to the Ethics Commission.
Kamati ya Kudumu ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi imeelezea kuridhishwa na taarifa ya utekelezaji wa kazi za Tume
VIONGOZI na Watumishi wa Umma, wametakiwa kufuata misingi na maadili ya Umma, ili kuleta maendeleo na kuimarisha utawala bora nchini. Akitoa mafunzo ya Maadili
WAANDISHI wametakiwa kuyaibua matendo maovu yanayofanywa na viongozi wa umma ili kuiepusha jamii kukosa haki zao za msingi na kushamiri kwa rushwa katika jamii. Afisa Uhusianao
UADILIFU ni dhana moja ambayo kuielezea kwake hutaacha kuigusa dhana ya Utawala Bora. Kuitwa mtumishi ama kiongozi aliyetukuka mbali na sifa nyengine kunashabihiana sana na matendo
The Zanzibar Public Leaders’ Ethics Commission (ZAPLEC) is a government agency established under section 4 of the Zanzibar Public Leaders’ Code of Ethics Act, No. 4 of 2015. The Commission started its operations in April, 2016.
© 2023 - All right reserved at Zanzibar Public Leaders’ Ethics Commission.