The Revolutionary Government of Zanzibar

Tangazo la Fomu ya Tamko la Mali na Madeni

Kwa mujibu wa kifungu cha 15 na 16 cha sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar nambari 4 ya 2015 Viongozi wote wa Umma wanatakiwa kujaza Fomu ya Tamko la Mali na Madeni na kuiwasilisha kwa Mwenyekiti wa Tume si zaidi ya tarehe 31 Disemba 2021