PUBLIC LEADERS IN ACCORDANCE WITH THE FIRST SCHEDULE
(Made under section 3)
In accordance with section 3 of the Zanzibar Public Leaders’ Code of Ethics Act, No. 4 of 2015, Public leader means:
“ …any person holding any of the public posts in accordance with the provisions of the Constitution or any other law of Zanzibar and those provided in the First Schedule of this Act ”
The list of Public leaders, in accordance with the First Schedule of the Zanzibar Public Leaders’ Code of Ethics Act, No. 4 of 2015, is as follows:
-
-
-
- Rais wa Zanzibar
- Makamu wa Kwanza wa Rais
- Makamu wa Pili wa Rais
- Jaji Mkuu
- Spika, Naibu Spika na Katibu wa Baraza la Wawakilishi
- Waziri na Naibu Waziri
- Mwanasheria Mkuu na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali
- Kadhi Mkuu, Naibu Kadhi Mkuu na Kadhi wa Mahkama ya Kadhi
- Mufti, Naibu Mufti, Katibu wa Mufti na Naibu Katibu wa Mufti
- Jaji wa Mahkama Kuu na Hakimu wa Mahkama wa ngazi zote
- Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi
- Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongon
- Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya
- Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu
- Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Naibu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
- Mkurugenzi wa Mashtaka na Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka
- Mtakwimu Mkuu wa Serikali
- Mhasibu Mkuu wa Serikali na Naibu Mhasibu Mkuu wa Serikali
- Mkemia Mkuu wa Serikali na Mfamasia Mkuu
- Kamishna na Naibu Kamishna wa Tume,Kamisheni. Idara na Taasisi nyengine za Serikali
- Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi. Bodi ya Ushauri. Baraza na Bodi nyengine za Taasisi za Serikali ambaye ni Muajiriwa wa SMZ
- Mshauri wa Rais, Mshauri wa Makamu wa Rais na Mshauri wa Waziri
- Katibu wa Rais, Naibu Katibu wa Rais, Msaidizi wa Rais na Naibu Msaidizi wa Rais
- Katibu Mtendaji, Katibu na Naibu Katibu wa Tume, Kamisheni, Baraza na Taasisi nyengine za SMZ
- Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu, Naibu Makamu
- Mkuu wa Chuo Kikuu na Mkuu wa Skuli wa Chuo Kikuu cha Urnma
- Mkuu wa Chuo au Taasisi ya Urnma
- Mrajis, Naibu Mrajis wa Mahkama Kuu na Mtendaji Mkuu wa Mahkama
- Mkurugenzi Mkuu, Naibu Mkurugenzi Mkuu,Mkurugenzi Mtendaji, Naibu Mkurugenzi Mtendaji.
- Mkurugenzi Mwendeshaji, Naibu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Umma, Bodi, Wakala na Taasisi nyengine za SMZ
- Mkurugenzi na Naibu Mkurugenzi wa Jiji, Mkurugenzi na Mkurugenzi Msaidizi wa Baraza la Mji na Mkurugenzi na Mkurugenzi Msaidizi wa Halmashauri ya Wilaya Mrajis na Naibu Mrajis wa Tume, Bodi, Wakala,Baraza, Shirika la Umma na Taasisi nyengine za SMZ
- Meneja Mkuu. Meneja na Mkuu wa Shifika la Umma Zanzibar
- Meya, Naibu Meya, Diwani na Sheha
- Katibu Tawala na Msaidizi Katibu Tawala wa Mkoa na Katibu Tawala na Msaidii Katibu Tawala wa Wilaya
- Afisa Mdhamini wa Wizara na Taasisi nyengine za SMZ
- Mwenyekiti wa Tume, Bodi ya Wakurugenzi, Bodi ya Ushauri, Wakala, Baraza na Taasisi nyengine za SMZ
- Katibu, Naibu Katibu wa Makamu wa Kwanza wa Rais na Makamu wa Pili wa Rais na Msaidizi wa Makamu wa Kwanza wa Rais na Makarnu wa Pili wa Rais
- Ofisa wa Sekretarieti wa Baraza la Mapinduzi
- Mhasibu Mkuu, Msaidizi Mhasibu Mkuu, Mhasibu wa Hazina na Mhasibu wa Voti wa Wizara, Idara na Taasisi nyengine za Serikali
- Mkaguzi Mkuu na Msaidizi Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wa Wizara, Idara na Taasisi nyengine za SMZ
- Afisa Kodi kutoka katika Taasisi ya ukuSanyajiwa mapato ya SMZ
- Katibu wa Bodi ya Zabuni na Mkuu wa Kitengo Cha Ununuzi na Uondoshaji wa Mali za Umma wa Wizara, Idara na Taasisi nyengine za SMZ.
- Afisa Dhamana wa Taasisi zinazojitegemea na Mashirika ya Umma
- Mkuu wa Idara Maalum, Naibu Mkuu Wa Idara Maalum, Mkuu wa Utawala, Mkuu wa Kamandi na Mkuu wa Zoni wa Idara Maalum za SMZ
- Meneja, Meneja Msaidizi, Mkurugenzi; Naibu Mkurugenzi, Mkuu wa Idara, Afisa Dhamana anayeteuliwa na Bodi ya Wakurugenzi, Bodi ya Ushauri, Tume, Baraza ‘hame au Taasisi nyengine za SMZ
- Katibu wa Bodi anayeteuliwa na Bodi ya Wakuugenzi, Bodi ya Ushauri, Tume, Baraza au Taasisi nyengine za SMZ
- Wateule wengine wa Rais nn Waziri.
-
-