Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Assaa A. Rashid

Mwenyekiti

Wasifu

Karibu katika tovuti ya Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar (Tume ya Maadili). Tume ya Maadili ni Wakala wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambayo inajukumu la kutekeleza na kusimamia Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Sheria Nam. 4 ya mwaka 2015 ambayo inawataka Viongozi wote wa Umma kuwasilisha mbele ya Tume ya Maadili tamko lao la taarifa za mali na madeni.