DIRA
Kuwa na jamii yenye kufuata maadili
DHAMIRA
kukuza uadilifu, tabia na mwenendo wenye kufuata maadili kwa viongozi wa umma; kwa kuimarisha uwazi, uwajibikaji, utii na usimamizi wa sheria.
MAADILI YA MSINGI
-
- Uadilifu
- Usiri
- Utaalamu
- Kufanya kazi kwa mashirikiano